TENGENEZA NYAVU ZAKO, OSHA NYAVU ZAKO.
Shalom, Nakusalimu katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo. Karibu tujifunze maneno ya Bwana wetu. Katika mambo ya uvuvi, zipo kanuni za uvuvi za kufuatwa, wengi wetu tunadhani, kazi ya mvuvi ni ya kwenda tu kutupa nyavu baharini, kukusanya samaki, kisha kuwatoa nje, halafu basi analala, anaamka tena kesho na nyavu yake hiyo hiyo, anakwenda … Continue reading TENGENEZA NYAVU ZAKO, OSHA NYAVU ZAKO.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed