CHAMBO ILIYO BORA.

Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, karibu tujifunze biblia. Katika uvuvi, upo uvuvi wa kutumia ndoano, na pia upo uvuvi wa kutumia nyavu. Uvuvi wa kutumia ndoano ni uvuvi ambao unahusisha kukamata samaki mmoja mmoja, Hivyo unachukua muda mrefu kidogo na pia una matokeo madogo. Na katikauvuvi huu ni vitu viwili  tu vinahusika katika … Continue reading CHAMBO ILIYO BORA.