USIYAACHE MAVAZI YAKO NA KWENDA UCHI!

Kuna mahali Bwana wetu Yesu alisema maneno haya.. Ufunuo 16:15 “ (Tazama, naja kama mwivi. HERI AKESHAYE, NA KUYATUNZA MAVAZI YAKE, ASIENDE UCHI HATA WATU WAKAIONE AIBU YAKE.)” Umewahi kujiuliza ni kwanini, Bwana aseme heri akeshaye “na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi”?. Katika hali ya kawaida mtu hawezi kutoka mahali na kwenda uchi labda awe … Continue reading USIYAACHE MAVAZI YAKO NA KWENDA UCHI!