Kwanini Bwana aliwalenga mbwa na nguruwe tu katika Mathayo 7:6?

SWALI: Kwanini Bwana Yesu aliwalenga mbwa na nguruwe tu , na si wanyama wengine katika mfano wa Mathayo 7:6? Mathayo 7:6 “Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua”. JIBU: Alitumia mfano wa wanyama hao wawili, kwasababu ya tabia zilizopitiliza za kutokujali walizo … Continue reading Kwanini Bwana aliwalenga mbwa na nguruwe tu katika Mathayo 7:6?