Kwa maana kahaba ni shimo refu; Na malaya ni rima jembamba.
SWALI: Nini maana ya huu mstari? Mithali 23:27 “Kwa maana kahaba ni shimo refu; Na malaya ni rima jembamba. 28 Naam, huotea kama mnyang’anyi; Huwaongeza wenye hila katika wanadamu”. JIBU: Kahaba ni mwanamke anayezini na mtu ambaye si mume wake, ni mwanamke mwenye mahusiano na wanaume wengi, akiwa na lengo la aidha kujiburudisha au kuharibu … Continue reading Kwa maana kahaba ni shimo refu; Na malaya ni rima jembamba.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed