Je ni sahihi kusikiliza miziki ya kidunia?.

Jibu: Mpaka imeitwa miziki ya kidunia maana yake imebeba maudhui ya kidunia: Na biblia inasema yeye aliye rafiki wa dunia ni adui wa Mungu. 1Yohana 2:15  “Msiipende dunia, wala mambo yaliyomo katika dunia. Mtu akiipenda dunia, kumpenda Baba hakumo ndani yake. 16  Maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na … Continue reading Je ni sahihi kusikiliza miziki ya kidunia?.