Nini maana ya “Torati na manabii”?
SWALI: Tukisoma katika maandiko tunaona sehemu kadha wa kadha likitajwa neno “Torati na manabii”. Sasa hii torati na manabii maana yake ni nini? Kwamfano Mathayo 7:12 inasema “Basi yo yote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo torati na manabii”. JIBU: Bwana Yesu aliposema Torati na manabii, alimaanisha Agano la kale, … Continue reading Nini maana ya “Torati na manabii”?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed