Je Eliya aliandika waraka baada ya kupaa mbinguni?

SWALI: Tunajua kuwa Nabii Eliya alipaa mbinguni katika upepo wa kisulisuli, lakini tunakuja kuona miaka mingi baadaye akituma waraka kwa mfalme mfalme Yehoramu juu ya ugonjwa wake (2Nyakati 21:12). Jambo hilo linawezekanikaje? Jibu: Labda tusome, 2Nyakati 21:11 ‚ÄúTena ndiye aliyefanya mahali pa juu milimani pa Yuda, na kuwaendesha katika uasherati wenyeji wa Yerusalemu, na kuwakosesha … Continue reading Je Eliya aliandika waraka baada ya kupaa mbinguni?