Je ni lazima kupitia mafundisho ya muda mrefu kabla ya kubatizwa?
Jibu: Ubatizo ni tendo linalopaswa lifanyike, haraka sana baada ya mtu kuamini. Tunaposema kuamini tunamaanisha kumwamini Bwana Yesu kuwa ndiye mkombozi wa ulimwengu, na kumkiri kwa kinywa na kisha kuungama dhambi zote mbele zake. Hivyo mtu anapoamini tu namna hiyo, hapaswi kwenda kupitia mafunzo Fulani ya ubatizo, la!.. Bali moja kwa moja anapaswa akabatizwe, ikiwezekana … Continue reading Je ni lazima kupitia mafundisho ya muda mrefu kabla ya kubatizwa?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed