Kwanini Bwana Yesu aliwaagiza wanafunzi wake wakanunue upanga?

Naomba kufahamu Kwanini Bwana Yesu aliwaagiza wanafunzi wake wakanunue upanga?. Na tunafahamu kazi ya upanga si njema? Tusome Luka 22:35 “Akawauliza, Je! Hapo nilipowatuma hamna mfuko, wala mkoba, wala viatu, mlipungukiwa na kitu? Wakasema, La! 36 Akawaambia, Lakini sasa mwenye mfuko na auchukue, na mkoba vivyo hivyo; naye asiye na upanga, na auze joho yake … Continue reading Kwanini Bwana Yesu aliwaagiza wanafunzi wake wakanunue upanga?