Kwanini Paulo aungane na wale watu wanne wenye nadhiri?

SWALI: Naomba kuelewa kitendo cha Paulo, kuungana na wale watu wanne wenye nadhiri, alipoenda Yerusalemu kilimaanisha nini?. Au kinaelewekaje? JIBU: Kama tunavyosoma katika maandiko tunaona ziara ya mwisho ya mtume Paulo kwenda Yerusalemu baada ya miaka mingi sana, kwa mara ya kwanza alikutana na Yakobo pamoja na wazee baadhi watakatifu wa Yerusalemu, na moja kwa … Continue reading Kwanini Paulo aungane na wale watu wanne wenye nadhiri?