Nini maana ya “Nitaomba kwa roho, tena nitaomba kwa akili pia?
SWALI: Paulo alimaanisha nini kusema…”Nitaomba kwa roho, tena nitaomba kwa akili pia;? 1Wakorintho 14:14 “Maana nikiomba kwa lugha, roho yangu huomba, lakini akili zangu hazina matunda. 15 Imekuwaje, basi? Nitaomba kwa roho, tena nitaomba kwa akili pia; mtaimba kwa roho, tena nitaimba kwa akili pia”. JIBU: Hapa mtume Paulo alikuwa anaondoa mkanganyiko uliokuwa unaendelea katika … Continue reading Nini maana ya “Nitaomba kwa roho, tena nitaomba kwa akili pia?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed