EPUKA KUPELELEZA KILA KITU MUNGU ANACHOKUAHIDIA.
Jina la Bwana wetu Yesu Kristo libarikiwe, nakukaribisha katika kuyatafakari maneno ya uzima ya Mungu wetu, Karibu sana. Jambo ambalo tunapaswa tuwe makini nalo, ni kuchunguza chunguza au kupeleleza peleleza ahadi ambazo Mungu anatuahidia katika maisha yetu. Sio kwamba kupeleleza ni kubaya, hapana, lakini matokeo ya kufanya hivyo ni kuwa tutakayokutana nayo yatakuja kinyume na … Continue reading EPUKA KUPELELEZA KILA KITU MUNGU ANACHOKUAHIDIA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed