Nawiwa na Wayunani na wasio Wayunani.

SWALI: Ni kwa jinsi gani Paulo aliwiwa na Wayunani na wasio Wayunani, wenye hekima na wasio na hekima? (Warumi 1:14). JIBU: Labda tuanze kusoma kuanzia juu