Nawiwa na Wayunani na wasio Wayunani.

SWALI: Ni kwa jinsi gani Paulo aliwiwa na Wayunani na wasio Wayunani, wenye hekima na wasio na hekima? (Warumi 1:14). JIBU: Labda tuanze kusoma kuanzia juu kidogo mstari wa 13. Warumi 1:13 “Lakini, ndugu zangu, sipendi msiwe na habari, ya kuwa mara nyingi nalikusudia kuja kwenu, nikazuiliwa hata sasa, ili nipate kuwa na matunda kwenu … Continue reading Nawiwa na Wayunani na wasio Wayunani.