Raheli aliwalilia vipi watoto wake?

Shalom ni Raheli yupi aliyekuwa anawalilia watoto wake?, na Watoto hao ni wakina nani? Na kiliwatokea nini?.. (Yeremia 31:15 na Mathayo 2:18). Jibu: Tusome, Yeremia 31:15 “Bwana asema hivi, Sauti imesikiwa Rama, kilio, na maombolezo mengi, Raheli akiwalilia watoto wake; asikubali kufarijiwa kwa watoto wake, kwa kuwa hawako” Katika Unabii huo kuna vitu viwili vya … Continue reading Raheli aliwalilia vipi watoto wake?