Kwanini Mungu aliwaita Adamu na Hawa jina moja?

SWALI: Kwanini katika Mwanzo 5:2 tunasoma Mungu aliwaita Adamu na Hawa jina moja la Adamu..na sio mawili tofauti.? Mwanzo 5:2 [2]mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki akawaita jina lao Adamu, siku ile walipoumbwa. JIBU: Kumbuka siku Mungu alipowaumba wanadamu(mwanamke na mwanamume)..hàkuwaumba wote kwa pamoja..Bali alimuumba ADAMU peke yake..kisha hawa baadaye..ambaye  alikuja kuumbwa kutoka katika ubavu wa … Continue reading Kwanini Mungu aliwaita Adamu na Hawa jina moja?