UPO UMUHIMU MKUBWA WA KUMTOLEA BWANA!

Jina la Mwokozi wetu, Yesu libarikiwe.. Karibu tujifunze biblia, leo tutajifunza jambo dogo, linalohusiana na faida za kumtolea Bwana. Moja ya mambo ambayo shetani kayakoroga sana katika Ukristo na nje ya ukristo, ni suala la utoaji. Shetani hataki watu wanaomjua Mungu wawe watoaji na hata wale wasiomjua Mungu wawe watoaji. Kwasababu anajua hata mtu asiyemjua … Continue reading UPO UMUHIMU MKUBWA WA KUMTOLEA BWANA!