FAHAMU JINSI MUNGU NA SHETANI WANAVYOZUNGUMZA NA WATU.
Ulishawahi kuyatafakari kwa makini haya maneno ya Bwana Yesu? Yohana 8:38 “Niliyoyaona kwa Baba ndiyo niyanenayo; nanyi vivyo hivyo mliyoyasikia kwa baba yenu ndiyo myatendayo”. Maneno hayo aliwaambia wayahudi (Mafarisayo na waandishi) kipindi kile walipotaka kumuua?. Lakini unaweza kujiuliza ni lini walishakaa chini na kumsikiliza shetani, akizungumza nao kisha akawapa maagizo ya kumwangamiza Bwana Yesu? … Continue reading FAHAMU JINSI MUNGU NA SHETANI WANAVYOZUNGUMZA NA WATU.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed