Kisima cha joka na lango la jaa ni nini?(Nehemia 2:13)

SWALI:Bwana Yesu asifiwe naomba kuelewa “Kisima cha joka”  na “lango la jaa” vina maana gani kama tunavyosoma katika Nehemia 2:13 JIBU: Nehemia alipopata taarifa juu ya uharibifu wa mji wa Yerusalemu, alifunga na kumwomba Mungu kwa muda mrefu, ili aende kuujenga tena mji huo, ndipo Mungu akasikia maombi yake na kumfungulia mlango wa kwenda Israeli … Continue reading Kisima cha joka na lango la jaa ni nini?(Nehemia 2:13)