Maji ya uzima, tunayoyasoma katika biblia sio maji ya chemchemi, wala ya bombani, wala kisimani, wala ya mto Yordani ulioko kule Israeli na wala sio maji ya upako, yanayouzwa leo huku na huko. Maji ya uzima ni jambo lingine la kiroho ambalo leo ningependa tuliangalie kidogo. Katika kitabu cha Yohana, Bwana Yesu alijaribu kugusia kidogo … Continue reading NUNUA MAJI YA UZIMA.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed