Wasamaria walikuwa ni watu gani?

Baada ya Israeli kuondolewa na Waashuru kutoka katika nchi yao, Mfalme wa Ashuru aliwaleta watu wengine, wakakae katika nchi hiyo,waliyoondolewa.. ili kwamba nchi hiyo , isibakie mapori. Watu hao walioletwa kukaa katika nchi ya Israeli, hawakuwa Wayahudi bali walikuwa ni wapagani, wanaoabudu miungu yao. Na walipoletwa walienda kukaa mahali pajulikanapo kama Samaria, huku wakiwa bado … Continue reading Wasamaria walikuwa ni watu gani?