Je! Karamu za ‘Idi’ ndio zipo hizo tunazozisoma katika Hosea (12:9)

Hosea 12:9 Lakini mimi ni Bwana, Mungu wako tangu ulipotoka katika nchi ya Misri; nitakukalisha tena katika hema, kama siku za KARAMU YA IDI. JIBU: Tofauti na inavyodhaniwa hapo, na watu wa dini tofauti, kwamba Biblia inazitambua sherehe za kiislamu!. Jambo ambalo si kweli. Ni vizuri kufahamu kuwa lugha yetu ya Kiswahili imetohoa maneno mengi … Continue reading Je! Karamu za ‘Idi’ ndio zipo hizo tunazozisoma katika Hosea (12:9)