Ni nani aliyemshawishi Daudi akawahesabu Israeli? Ni Mungu au shetani?

Katika 2Samweli 24:1 tunaona maandiko yanasema ni Mungu ndiye aliyemtia Daudi nia, lakini tukirudi katika 1Nyakati 21:1, tunaona maandiko yanasema ni shetani. Tuanze na 2Samweli 24:1.. 2Samweli 24:1 “Tena hasira ya BWANA IKAWAKA JUU YA ISRAELI, AKAMTIA DAUDI NIA JUU YAO, AKISEMA, NENDA, UKAWAHESABU ISRAELI NA YUDA”. Tusome pia… 1Nyakati 21:1 “TENA SHETANI AKASIMAMA JUU … Continue reading Ni nani aliyemshawishi Daudi akawahesabu Israeli? Ni Mungu au shetani?