NI YESU YUPI UMEMPOKEA?, NI ROHO IPI UMEIPOKEA? NA INJILI IPI UMEIPOKEA?

Jina la Bwana Yesu libarikiwe, karibu katika kuyatafakari maandiko.. 1Wakorintho 11:4 “Maana yeye ajaye akihubiri YESU MWINGINE ambaye sisi hatukumhubiri, au mkipokea ROHO NYINGINE msiyoipokea, au INJILI NYINGINE msiyoikubali, mnatenda vema kuvumiliana naye”! Hapo katika  sentensi hiyo, Mtume Paulo aliposema “mnatenda vema kuvumiliana naye”..hakuwa anawasifu watu wa Korintho kwa wao kupokea roho nyingine, au kumkubali … Continue reading NI YESU YUPI UMEMPOKEA?, NI ROHO IPI UMEIPOKEA? NA INJILI IPI UMEIPOKEA?