NINI MAANA YA KUWA MKRISTO?

Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe. Je unajua ni kwanini Bwana Yesu aliwaagiza Mitume wake pamoja na sisi wote kwamba tuende ulimwenguni kote tukawafanye watu wote kuwa WANAFUNZI na si WAKRISTO? (Mathayo 28:19). Je! Unajua neno Ukristo mara ya kwanza lilizaliwa wapi? Tusome Matendo 11:26.. Matendo 11:26 “hata alipokwisha kumwona akamleta Antiokia. Ikawa kwa muda … Continue reading NINI MAANA YA KUWA MKRISTO?