Ni kwa namna gani Yesu ni Simba wa Yuda?

Bwana Yesu amejulikana kwa majina mengi tofauti tofauti katika biblia, kuna sehemu katajwa kama Mwanakondoo (Yohana 1:29), sehemu nyingine kama nyota ya asubuhi, sehemu nyingine kama Mzao wa Daudi (ufunuo 22:16), sehemu nyingine kama Imanueli, sehemu nyingine kama Simba wa Yuda n.k. Leo tutaangalia ni kwanini amejulikana kama Simba wa Yuda. Bwana Yesu kama Simba … Continue reading Ni kwa namna gani Yesu ni Simba wa Yuda?