MISTARI YA BIBLIA KUHUSU WATOTO.

MISTARI YA WAZAZI/WALEZI KUHUSU WATOTO. Haya Mafungu ya biblia ambayo wazazi/walezi wanapaswa wayajue kuhusu watoto wao. Zaburi 8:2a “Vinywani mwa watoto wachanga na wanyonyao Umeiweka misingi ya nguvu;..” Mungu anaonyesha kuwa kupitia watoto wachanga, ambao unaweza kuwadharau hawajui kitu, hapo ndipo Mungu ameweka nguvu zake. Hivyo anza kumlea mtoto katika misingi ya kumcha Mungu tangu … Continue reading MISTARI YA BIBLIA KUHUSU WATOTO.