Je ushabiki wa mpira ni dhambi?

Je! Kucheza mpira au kushabikia mpira ni dhambi kulingana na maandiko?. Bwana kutuumba miili yetu hii ili kuishughulisha, hajatuumbia ikae tu bila kujishughulisha..Na njia mojawapo ya kuishughulisha ni kwa kufanya mazoezi. Na mazoezi hayo yanaweza kufanyika kwa njia ya kawaida au ya kucheza..Kwamfano watu wawili marafiki wanaweza kusimama na kushindana mbio, na mwisho wa mbio … Continue reading Je ushabiki wa mpira ni dhambi?