Furaha ni nini?

Furaha kwa tafsiri ya kawaida, ni muhemko chanya wa kihisia unaotakana na aidha kuridhishwa na jambo fulani au kupata kitu fulani. Kwa mfano katika biblia Wale mamajusi walipoina tena ile nyota  ya Bwana kule Bethelehemu, walifurahi. Mathayo 2:10 “Nao walipoiona ile nyota, walifurahi furaha kubwa mno”. Utaona pia wale waliokwenda kaburini kwa Yesu,Na kukuta ameshafufuka, … Continue reading Furaha ni nini?