ALAMA ZA BENDERA YA ISRAELI ZINAWAKILISHA NINI?

Wakati Mungu anawatoa Israeli kutoka Misri, Mungu hakuwapa bendera kuwa kama Ishara ya Taifa hilo, Hivyo bendera kwa Israeli ni kitu kilichokuja kuzalika miaka mingi baada ya Kristo kuja duniani katika harakati za kutafuta uhuru. Sasa swali, ni je zile rangi katika bendera hiyo zinawakilisha nini?, Na ile nyota iliyopo katikati ya bendera inawakilisha nini?. … Continue reading ALAMA ZA BENDERA YA ISRAELI ZINAWAKILISHA NINI?