Je Bwana Yesu alikuwa na mchoro (tattoo) katika paja lake?

Tusome.. Ufunuo 19:16 “Naye ana jina limeandikwa katika vazi lake na paja lake, MFALME WA WAFALME, NA BWANA WA MABWANA” Mstari huu unatumika na wengi wanaohalalisha uchoraji wa tattoo katika miili yao, kuwa hata Bwana Yesu mwenyewe alijichora tattoo katika paja lake. Je ni kweli hiyo ndio maana ya huo mstari?Jibu ni la! Katika Maono … Continue reading Je Bwana Yesu alikuwa na mchoro (tattoo) katika paja lake?