KWANINI MTINI KATIKATI YA MIZABIBU?

Kuna baadhi ya watu Mungu anawapanda katika kanisa, kwa namna ya kitofauti na kipekee sana.. Na pengine wenyewe hawalijui hilo..hivyo wanaishi maisha ya kimaficho ficho tu..au ya juu juu tu, kwa kisingizio kuwa wao si kama wengine.. wakidhani kuwa Kristo, amewaweka hapo bure, kwasababu hiyo.. Ulishawahi kuitafakari vizuri hii habari.. Luka 13:6-9 [6]Akanena mfano huu; … Continue reading KWANINI MTINI KATIKATI YA MIZABIBU?