Mwandamo wa mwezi/Mwezi mpya Ni nini kibiblia?
Katika biblia ukiona neno “mwandamo wa mwezi”, au “mwezi mpya”, ujue ni neno lile lile moja linalomaanisha “siku ya kwanza ya mwezi”. Katika agano la kale siku hii iliheshimiwa na kufanywa kama mojawapo ya siku takatifu, kama tu vile ilivyokuwa siku ya sabato, ambayo ni siku ya saba. Vivyo hivyo kila siku ya kwanza ya … Continue reading Mwandamo wa mwezi/Mwezi mpya Ni nini kibiblia?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed