Ni kwa namna gani, upendo husitiri wingi wa dhambi? (1Petro 4:8).

Tusome, 1 Petro 4:8 “Zaidi ya yote iweni na juhudi nyingi katika kupendana; kwa sababu upendano husitiri wingi wa dhambi”. Awali ya yote ni muhimu kufahamu maana ya neno “kusitiri” na vile vile ni muhimu kufahamu ni nani ambaye anayesitiriwa dhambi zake, je! ni yule anayependa au anayependwa?. Neno “kusitiri” maana yake “kufunika au kuficha”..mtu … Continue reading Ni kwa namna gani, upendo husitiri wingi wa dhambi? (1Petro 4:8).