Je ni kweli miaka yetu ya kuishi ni 80 tu (kulingana na Zaburi 90:10).

Maandiko yanasema siku zetu za kuishi ni miaka70 tukiwa sana na nguvu ni miaka 80, sasa swali mbona kuna wengine wanaizidi hiyo miaka na kufikisha hata mia