SHINA LA UCHUNGU, LISICHIPUKE NDANI YETU.

Biblia inasema; Waebrania 12:14 “Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao; 15 mkiangalia sana mtu asiipungukie neema ya Mungu; shina la uchungu lisije likachipuka na kuwasumbua, na watu wengi wakatiwa unajisi kwa hilo”. Mistari hiyo kwa namna nyingine tunaweza kusema; Tukikosa amani, na … Continue reading SHINA LA UCHUNGU, LISICHIPUKE NDANI YETU.