Nimekuwa kama mwari nyuni wa jangwani,
SWALI: Naomba kufahamu Zaburi 102:6 inamaana gani? Mwandishi anaposema.. Zaburi 102:6 [6]Nimekuwa kama mwari nyuni wa jangwani, Na kufanana na bundi wa mahameni. Mwari ni aina ya ndege ambao, wana midomo mirefu, na kifuko kikubwa shingoni ambacho wanatumia kuhifadhia chakula kabla hawajakimeza. Ni ndege ambao wanapendelea sehemu za maji maji ambapo inakuwa ni rahisi wao … Continue reading Nimekuwa kama mwari nyuni wa jangwani,
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed