Ni maneno gani Bwana Yesu aliyokuwa anayaandika ardhini? (Yohana 8:7).
Jibu: Tuisome Habari nyenyewe… Yohana 8:3 “Waandishi na Mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati. 4 Wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini. 5 Basi katika torati, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake namna hii; nawe wasemaje? 6 Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, AKAANDIKA KWA KIDOLE … Continue reading Ni maneno gani Bwana Yesu aliyokuwa anayaandika ardhini? (Yohana 8:7).
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed