JE! NINAWEZA KUPOTEZA FURAHA YA WOKOVU?

Wokovu na furaha ya wokovu ni vitu vinavyokwenda sambamba, palipo na wokovu ni lazima na furaha ya wokovu pia iwepo, vikipishana kidogo, basi ni tatizo kubwa sana ni sawa na chakula kilichokosa chumvi, utakula tu, ili kujaza tumbo lakini hutakifurahia hata kidogo, Wakristo wengi sasa wameupokea wokovu, lakini , si wote wanayo furaha ya wokovu. … Continue reading JE! NINAWEZA KUPOTEZA FURAHA YA WOKOVU?