MWANAMKE, USIFUNGUE MLANGO WA MAPEPO KUKUINGIA!.

Jina la Bwana Yesu Kristo libarikiwe. Karibu tujifunze Biblia. Je!, wewe ni Mwanamke?..kama ndio! basi fahamu kuwa upo katika hatari kubwa ya kuingiwa na roho za mapepo kuliko mwanaume!. Hebu tutafakari mstari ufuatao, na kisha tujiulize maswali machache!. 1Timotheo 2.11 “Mwanamke na ajifunze katika utulivu, akitii kwa kila namna. 12 Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, … Continue reading MWANAMKE, USIFUNGUE MLANGO WA MAPEPO KUKUINGIA!.