Pale mwanandoa mmoja anaposhindwa kutimiza wajibu wake ufanyaje?

Wajibu wa wanandoa ni upi? Mume: Kumpenda mke wake Kama mwili wake mwenyewe, ( Waefeso 5:25):  Ikiwemo kumuhudumia kiafya, kimavazi, kimalazi, na kiroho. Mke: Kumtii Mume wake: Kumsikiliza, kumuheshimu, kukubali kuongozwa. (Waefeso 5:22). Wote: Haki ya ndoa. (1Wakorintho 7:5) Lakini ikitokea mmoja, ameshindwa kusimama katika nafasi yake, labda tuseme, mume hamjali mkewe, anampiga, anatoka nje … Continue reading Pale mwanandoa mmoja anaposhindwa kutimiza wajibu wake ufanyaje?