Mikono iliyotakata ni mikono ya namna gani? (1Timotheo 2:8).

Swali: Katika 1Timotheo 2:8 tunaona Mtume Paulo akiwataja wanaume kuwa wanaposalisha wanyanyue mikono iliyotakata, sasa hii mikono iliyotakata ndio mikono ya namna gani? Jibu: Tusome, 1Timotheo 2:8  “Basi, nataka wanaume wasalishe kila mahali, huku wakiinua mikono iliyotakata pasipo hasira wala majadiliano” Mikono iliyotakata ni mikono isiyo na “Dosari”..Sasa ili tuelewe mikono isiyo na Dosari ni … Continue reading Mikono iliyotakata ni mikono ya namna gani? (1Timotheo 2:8).