KWANINI DANI ALIKAA KATIKA MERIKEBU.
Wakati ambapo Israeli inapitia manyanyaso makali kutoka kwa wakaanani kwa miaka 20, mpaka yakawafanya wamlilie Mungu kwa nguvu ili awaokoe..Tunasoma kwenye biblia Mungu alisikia kilio chao akawanyanyulia mwamuzi Debora pamoja na baraka.. Hivyo Mungu akawaagiza wana wa Israeli wapange majeshi, ili wakapigane na adui zao, na hakika Bwana atawashindia..makabila mengi yalikubali kupeleka majeshi yao, lakini … Continue reading KWANINI DANI ALIKAA KATIKA MERIKEBU.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed