Mwanazuoni ni mtu gani kibiblia?
Mwanazuoni ni mtu aliyejikita katika utafiti au usomi wa ndani katika tasnia Fulani, lengo lake likiwa ni kupata uvumbuzi wa yale magumu yenye utata au yaliyojificha.. Hivyo mwanazuoni wa biblia ni mtu anayeingia ndani kujifunza Biblia, ili kuieleza katika urahisi zaidi au katika ufasaha zaidi kwa jamii au kutoa majibu ya mambo magumu yaliyo ndani … Continue reading Mwanazuoni ni mtu gani kibiblia?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed