NI WAPI UTAKUTANA NA MALAIKA WA BWANA?
Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo aliye Bwana na mwokozi wetu. Utukufu na uweza ni vyake milele na milele. AMEN. Leo tuone ni nini Bwana anasema nasi tena nyuma ya tukio la Hajiri kijakazi wa Sarai alipomtoroka bibi yake.. Kama tuonavyo katika maandiko mateso yalipozidi, alikimbilia jangwani..lakini akiwa kule jangwani, alilia sana Bwana, amsaidie kwasababu … Continue reading NI WAPI UTAKUTANA NA MALAIKA WA BWANA?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed