HII NDIO TABIA YA WATU WA KEILA, USIIGE
(1Samweli 23:1-14) Keila ni moja ya miji midogo iliyokuwa Israeli, lakini kuna wakati ulipitia taabu kubwa sana ya kuvamiwa na wafilisti, wakateswa wakaibiwa nafaka zao, hivyo wakiwa katika mahangaiko hayo, na mateso hakuna wa kuwasaidia, Maandiko yanatuonesha akatokea Daudi katika maficho yake, alipokuwa anamkimbia Sauli..Akapita katikati ya mji huo,akasikia, kuwa wafilisti wapo huko wanawatesa watu … Continue reading HII NDIO TABIA YA WATU WA KEILA, USIIGE
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed