Wapelelezi wa uhuru wa wakristo ni watu gani (Wagalatia 2:4)?
Jibu: Tuanzie kusoma ule mstari wa 3 Wagalatia 2:3 “Lakini Tito aliyekuwa pamoja nami, naye ni Myunani, hakulazimishwa kutahiriwa. 4 BALI KWA AJILI YA NDUGU ZA UONGO WALIOINGIZWA KWA SIRI; AMBAO WALIINGIA KWA SIRI ILI KUUPELELEZA UHURU WETU TULIO NAO KATIKA KRISTO YESU, ILI WATUTIE UTUMWANI; 5 ambao hata saa moja hatukujitia chini yao, ili … Continue reading Wapelelezi wa uhuru wa wakristo ni watu gani (Wagalatia 2:4)?
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed