Ni kosa gani lililowafanya wana wa israeli wawe watumwa miaka 400 Misri?.
Swali: Kwanini Mungu aliwapeleka wana wa Israeli Misri kwa miaka 400, Ni kosa gani kubwa walilolifanya mpaka Mungu kuwauza kwa Farao miaka yote hiyo? Jibu: Hakuna kosa lolote walilolifanya mpaka kufikia hatua hiyo ya kupelekwa Misri katika nyumba ya utumwa. Bali Mungu aliruhusu iwe hivyo, kwa makusudi maalumu. Ni kama tu Yusufu alivyoenda kuuzwa kwa … Continue reading Ni kosa gani lililowafanya wana wa israeli wawe watumwa miaka 400 Misri?.
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed