NINYI AKINA BABA MSIWACHOKOZE WATOTO WENU
Majukumu ya Mzazi ni kumlea mtoto katika njia inayompasa, kwasababu hekima ya Mungu inasema, hataiacha njia hiyo hata atakapokuwa mzee. Mithali 22:6 “Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee” Lakini pamoja na kumlea mtoto katika njia impasayo ya kiMungu, mzazi pia hapaswi kumchokoza mwanae sawasawa na maandiko yafuatayo… Waefeso 6:4 “Nanyi, akina … Continue reading NINYI AKINA BABA MSIWACHOKOZE WATOTO WENU
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed